FARAJA SEMINARY YAPANGA KUFANYA MAKUBWA KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2016
MWALIMU MKUU faraja seminary daniel seth mwamkinga amesema kwamba anapanga matokeo ya mwaka huu faraja seminary ya kidato cha nne yawe ni yakushangaza sana
kwakuwa yeye anamwamini mungu kwa kiasi kikubwa anaamini atatenda huku akiwa na kauli ya kuinua kizazi cha daniel
maelezo kiundani ni kwamba
kidato cha nne mwaka 2015 kilikuwa na wanafumzi 125
na wotw walionesha kiwango kikubwa cha ufaulu hadi kufikia distinction 100 na melt 24 huku credit ikiwa moja
anasema kwa kiwango icho mungu bado ni ebeneza
........................................................................................................................................................