Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
HABARI ZA UHAKIKA

CHUI AZUA KIZAAZAA INDIA BOFYA LIKE KUPATA HABARI MOTOMOTO

February 9 2016 , Written by raphael Published on #HABARI ZA KIMATAIFA

Watu hao walikubwa na maswaibu hayo baada ya kujaribu kumzuia chui huyo ndipo alipoanza kuwarukia na kuwauma huku watu wengi wakikimbia kuepuka kadhia hiyo.

Chui huyo mwenye umri wa miaka nane alisumbua eneo hilo kwa muda wa zaidi ya saa nane na baada ya kukamatwa alichomwa sindano na kumfanya atulie na baadae aliachiwa na kurejea porini.

Kwa mujibu wa sensa ya wanyama mwitu iliyofanywa majuzi nchini India inakadiriwa kuwa na idadi ya chui kati ya 12,000 na 14,000.

SOURCE: BBC

Share this post
Repost0
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post