Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
HABARI ZA UHAKIKA

MWINYI KAZIMOTO AMPA KIPONDO MUANDISHI WA HABARI

February 11 2016 , Written by raphael Published on #michezo

Kiungo mkongwe wa Simba, Mwinyi Kazimoto anatuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari, hali iliyosababisha afikishwe katika kituo kikuu cha Polisi cha Shinyanga. Kazimoto amefikishwa katika kituo hicho kilicho karibu kabisa na hospitali ya mkoa wa Shinyanga...

Read more

CHUI AZUA KIZAAZAA INDIA BOFYA LIKE KUPATA HABARI MOTOMOTO

February 9 2016 , Written by raphael Published on #HABARI ZA KIMATAIFA

Watu hao walikubwa na maswaibu hayo baada ya kujaribu kumzuia chui huyo ndipo alipoanza kuwarukia na kuwauma huku watu wengi wakikimbia kuepuka kadhia hiyo. Chui huyo mwenye umri wa miaka nane alisumbua eneo hilo kwa muda wa zaidi ya saa nane na baada...

Read more