HAYA WABONGO HALISI KAENI MAKINI KUPOKEA BLOG HALISI ISIYO TAKA UMBEA WALA UONGO
MLIO CHOKA NA UMBEA USIO NA UKWELI KAENI TAYARI
wanasema mwaka mpya na mambo mapya
blog ya kibongo halisiiiiiii muda wowote saa yoyote itaachiwa hadharani kaeni tayari jamani sawa
mnamo tarehe 19_1_2016 kiongozi wa blog ya boy 47 aitwae raphael mussa anae tambulika kwa jina la mr 47 amesema muda wowote saa yoyote ataachia blog yake hewani na haitakuwa na skendo chafu na zauongo kaeni tayari
Share this post
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post